caricature

n 1 karagosi: picha/sanamu iliyokuzwa mno kuliko kawaida yake kwa nia ya kuchekesha. 2 kuiga mtu kwa kusisitiza mambo fulani kwa nia ya kuchekesha; igiza, fuatisha na kugeuza picha (tendo, jambo) hata lichekeshe. caricaturist n mchora vikaragosi.