career

n (profession) 1 kazi, amali. ~master/mistress n mwalimu, mshauri kuhusu maisha/kazi baada ya kumaliza masomo. ~ girl n mwanamke anayejali sana kazi yake (k.m. kuliko kuolewa). 2 (matendo ya) maisha (ya watu). 3 mkurupuko. in full ~ kwa mwendo wa kasi sana vi kurupuka. ~ along/through kwenda ovyo. careerist n mtu anayejali kusonga mbele katika amali.