careen

vt,vi laza upande, (chombo au meli) ili itengenezwe chini, inika; pindua. vi lala upande (ubavuni). careenage n (naut) ulazaji upande wa chombo; gharama zake; mahali pa kufanyia kazi hiyo.