care

n 1 (attention) uangalifu, utunzaji. take ~ of angalia, tunza, shughulikia. take ~ angalia, tahadhari, jihadhari. 2 (responsibility) uangalizi, wajibu, usimamizi. ~ of (of letter) kupitia kwa (k.k). caretaker n mwangalizi; mlinzi; msimamizi; kabidhi. ~taker government serikali ya muda. 3 mashaka, taabu,wasiwasi he is free from ~ hana taabu. ~laden adj enye wasiwasi/mawazo mengi. 4 (US pl) mzigo, tatizo the ~s of bringing up a large family matatizo ya kulea familia kubwa. carefree adj bila mawazo, changamfu; (derog) siojali; purukushani. vi 1 ~ (about)jali I don't ~ , I couldn't ~less, who ~s! nani anajali. 2 ~ (for) (like) penda; (look after) tunza would you ~ to come? ungependa kuja; karibu. careful adj - angalifu, -a makini, -enye kujali. carefully adv kwa uangalifu, kwa hadhari, kwa makini. carefulness n. ~less adj -zembe, vivu, -a ovyo ovyo. carelessness n.