cardinal

cardinal

1 n (rel) kadinali: askofu mwenye cheo cha juu. cardinalate/cardinalship n.

cardinal

2 adj -kuu; -a maana; -a kiini cha jambo. ~ numbers n namba kamili. ~ points n sehemu kuu za dira (Kaskazini, Kusini, Mashariki, Magharibi). ~ vein n vena kuu.