cardiac

adj -a kuhusu moyo. ~ arrest n shtuko la moyo. cardiogram n kadiogramu. cardiograph n kadiografu. cardiology n kadiolojia: taaluma (ya) moyo. ~ muscle n msulimoyo.