card

card

1 vt chambua (sufi au katani). n chombo cha kuchambua sufi.

card

2 1 kadi. wedding ~ n kadi ya arusi. post ~ n postakadi. membership ~ n kadi ya uanachama. library ~ n kadi ya maktaba. 2 mtu wa mizaha, mcheshi. 3 playing ~ n karata put one's ~s on the table julisha mambo, nia play one's ~s well cheza vizuri, tumia akili on the ~s wezekana have a ~ up one's sleeve -wa na mpango wa siri. ~index n faharisi vt weka faharisi, tia faharisi. cardsharp/ cardsharper n mfyatuzi, mlaghai katika mchezo wa karata.