carbon

n 1 kaboni. ~ dioxide n dioksidi ya kaboni. 2 (electrode) elektrodi ya kaboni. 3 ~ paper n kaboni. ~ copy n nakala halisi. ~ copying n kunakili kwa kaboni. ~ dating n njia ya kupima umri wa vitu vya kale kwa kupima kiasi cha kaboni. carbonize vt kabonisha, geuza kuwa kaboni. carboniferous adj. carbonated adj -enye dioksidi ya kaboni. carbonation n.