carbolic

adj -a kaboliki. ~ acid n asidi kaboliki: dawa ya sumu itokayo katika makaa ya mawe, hutumika sana kusafisha vidonda na vyombo vya nyumbani au hospitalini.