capital

capital

1 n (arch) kombe ya nguzo.

capital

2 n 1 makao makuu. 2 (of letters of the alphabet) herufi kubwa (eg. A,B,C.). 3 mtaji; raslimali; fedha. floating ~ n mtaji geu. fixed ~ n mtaji wa kudumu. make ~ of tumia kwa faida adj 1 (arch colloq) -zuri sana. a ~ speech n hotuba nzuri sana. 2 -kuu. ~ city n Makao Makuu, jiji kuu; mji mkuu. 3 -a kifo. ~ punishment n adhabu ya kifo. ~ offence n kosa linaloadhibiwa kwa kifo. 4 -a mtaji. ~ levy n kodi ya mtaji. ~ goods n bidhaa zinazotumika kuzalisha mali. ~ expenditure n matumizi ya mitambo/majengo. ~ gain n faida tokana na mauzo ya raslimali.