capillary

adj -a kapilari ~ attraction mvuto wa kapilari ~ repulsion msukumo wa kapilari n (anat) kapilari: mshipa mdogo wa damu. capillarity n ukapilari: uwezo wa kushuka au kupanda kwa kioevu katika neli kutokana na kani za mshikamano na mng'ang'anio kusukuma kwa nguvu za unywele.