canteen

n 1 kantini. 2 bweta/sanduku la vyombo vya kulia. 3 (mil) vyombo vya chakula/maji vya askari.