canopy

n 1 kanopi: kitambaa/kipaa kinachoning'inizwa juu ya kiti, kitanda n.k. 2 (aircraft) mfuniko wa chumba cha rubani 3. (fig) mwavuli; kivuli chochote kinachoning'inia the ~ of the sky anga, mbingu.