canon
n 1 (rel) sheria/kanuni ya kanisa. ~ law n kanuni/sheria za kanisa. 2 kigezo. 3 vitabu vinavyotambulika (hasa vitabu ya Biblia ambavyo vinatambuliwa na kanisa). 4 orodha rasmi. 5 padri wa kanisa kuu. 6 sehemu kuu ya misa. ~ ical adj -a kuhusu sheria za kanisa. ~ ical hours n saa za sala. canonicals n mavazi rasmi ya ibada; (gram) kuhusu msingi wa neno. canonize vt 1 takatifuza: dumisha/tangaza kuwa mtakatifu. 2 idhinisha moja kwa moja. canonization n.