n 1 mzinga. cannon-balln tufe la mzinga. ~-bonen(of horse) mfupa baina ya goti na kwato. ~-foddern askari wanaofikiriwa si muhimu hivyo waweza kuteketezwa bila wakuu wao kujali. 2 mgongano katika mchezo wa biliadi (mpigo mmoja unaogusa mipira miwili) vt gonga kwa nguvu. cannonaden mpigo wa mizinga mingi; mfululizo wa risasi.