canal

n 1 mfereji. Suez ~ n mfereji wa Suez. 2 (bio) mfereji wa chakula. canalize vt chimba mfereji; (fig) elekeza.