can

can

1 n 1 kopo; debe; mkebe a ~ of sardines kopo la dagaa milk ~ chombo cha maziwa. 2 (US) pipa la taka. 3 (US sl) gereza; choo; filamu iliyowekwa tayari kwa kutumia carry the ~ wajibika. vt 1 tia koponi ~ned fruit/ vegetables matunda/ mboga za kopo. 3 (US sl) fukuza, toa kazini. 4 (US sl) acha ~ that noise acha kupiga kelele. cannery n kiwanda cha kutia vyakula makoponi. can-opener n kiboko, kifungua kopo.

can

2 v 1 weza, fahamu he ~ read anaweza kusoma I ~ not understand sifahamu, sielewi. 2 wezekana it ~ not be true haiwezi kuwa kweli the food ~ be eaten chakula kinalika as often as I (possibly) ~ kila niwezapo. 3 (colloq) ruhusiwa ~ I leave now? naruhusiwa kuondoka?