1n 1 kambi; kituo; kigono. 2 (fig) kundi la watu wenye msimamo/imani/ itikadi moja. camp-meetingn(US) mkutano wa kidini unaofanyika nje. eye -~n kambi ya matibabu ya macho. ~ -stooln kiti cha kukunja; kiti cha safari. ~-followern 1 raia anayefuatana na jeshi wakati wa vita (hasa malaya). 2 barakala. vi~ (out) fanya kambi, tua safarini, piga hema. vt(mil) weka kambini. ~ing- groundn uwanja wa kupigia kambi.