camera

n 1 kamera. on ~ inapigwa picha. 2 (leg) chumba cha mkuu wa mahakama. in ~ katika chumba cha hakimu; faraghani, si mbele ya watu; (see in chambers) kwa siri. camera-man n mpiga picha.