camel

n 1 ngamia. ~ ('s) -hair manyoya laini aghalabu ya ngamia. 2 chelezo. 3 rangi ya madafu. 4 ~ -back n kiraka, mpira hafifu wa kutengenezea tairi. cameleer n mtunza ngamia.