calvary

n (rel) 1 Kalivari: kilima nje ya Jerusalem aliposulubiwa Yesu. 2 uwakilishi wa kusulubiwa kwa Yesu. 3 mateso makubwa.