calm
adj 1 (of weather) shwari, -tulivu. 2 pole, kimya, makini, -nyamavu. ~ water n maji matulivu. pretty ~ about it baridi, hata mshipa haumgongi. n 1 utulivu, amani, raha. 2 shwari a dead ~ utulivu mkubwa. vi tulia, nyamaza. ~ down tulia. vt tuliza, nyamazisha, fariji. calmy adv. calmness n. calmative adj (med) -a kutuliza, -a kupoza n kipozamaumivu.