calibre/caliber

n 1 kipenyo cha mwanzi (wa bunduki au bomba lolote). 2 ubora wa tabia au akili. 3 (capacity) ukubwa; uhodari.