calcium

n kalisi: metali laini nyeupe (hutokea kwenye mifupa, meno, na sehemu ya chokaa, marumaru n.k.).