calcify

vt,vi fanya (kuwa) chokaa; geuza/geuka kuwa chokaa. calciferous adj. calcine vt,vi 1 choma chokaa. 2 choma kwa moto mkali. calcination n 1 uunguzaji: uchomaji kwa nguvu kitu chochote. 2 mgeuko chokaa.