cake

n 1 keki. (selling) like hot ~s (nunulika) sana na kwa haraka. take the ~ -wa wa kwanza, anza. you can't have your ~ and eat it amua moja. piece of ~ rahisi, nyepesi. 2 mseto, mchanganyiko wa mapishi/ vyakula. fish ~s n keki/mseto wa samaki. 3 kipande, donge, bumbaa. ~ of soap kipande cha sabuni. vi ganda, gandamana.