caisson

n 1 (mil) kasha la kigari cha makombora. 2 keisoni: kitundu cha kuzuia maji yasiingie ambacho wajenzi wa majini hutumia. ~ disease n maumivu ya viungo yasababishwayo na kufanya kazi ndani ya hewa iliyobanwa/nzito.