cackle

n 1 mteteo wa kuku. 2 kicheko cha sauti kubwa. 3 mpayuko. (sl) cut the ~ funga mdomo vt (of hen) 1 tetea. 2 payuka. cackler n mpayukaji. cacography n mwandiko au tahajia mbaya.