cachet

n alama teule (ya ubora/uhalisi). cachou n kachu au lozenji, kipoteza harufu (peremende kwa ajili ya kupoteza harufu ya mdomoni).