cable

n 1 kebo; kamba nene (ya katani au ya waya). 2 (naut) amari, utari, waya wa kushikia daraja /kuvutia vigari. ~car n kigari cha kamba (milimani). 3 waya nene la kupelekea habari/umeme kupita chini ya bahari. 4 habari ichukuliwayo kwa sauti. cablegram n kebo, simu. vt 1 peleka habari kwa simu (kupita baharini n.k.).