cabinet

n 1 chumba kidogo, almari au sefu ya kuwekea ama kuonyeshea vitu; kabati. medicine ~ n kabati la kuwekea madawa. filing ~ n kabati yenye saraka za kuhifadhia mafaili. 2 baraza la mawaziri. C ~ Minister n Waziri katika Baraza la Mawaziri. ~ maker n fundi samani.