cabin

n 1 kibanda, kijumba cha makuti na magogo. 2 dambra; chumba katika ndege. 3 ~boy n mhudumu melini. 4 ~class n daraja la II (melini). ~-cruiser n motaboti kubwa yenye dambra.