cab

n 1 teksi, gari la kukodisha. taxi-~ n teksi. ~-man n dereva wa teksi. ~-rank n (also ~ -stand) kituo cha teksi. 2 chumba cha mwendeshaji (katika gari-moshi au katika lori kubwa).