byword

n 1 mithali. 2 ~for mtu, kitu au mahali maarufu panapovuma kwa ubaya his action became a ~ in the town kitendo chake kilivuma mji mzima a ~ of iniquity tendo la kudharauliwa.