buzz

vi,vt 1 vuma (kama nyuki). 2 enda, tembea kwa haraka na kwa msisimko. ~ off (sl) ondoka, ambaa. 3 (of the ears) jawa na mvumo. 4 (of an aircraft) ruka karibu na ndege nyingine kwa namna ya kuitishia. n 1 mvumo (k.m wa wadudu, mazungumzo ya watu, au mashine). give somebody a ~ (sl) pigia simu mtu. buzzer n mtambo uanzishao mvumo (umeme unapopita).