buy

vt nunua. ~ back nunua tena (kitu ulichouza). ~ in nunua kwa matumizi ya baadaye; nunua mwenyewe kitu ulichonadi. ~ off the judge honga hakimu; zabuni na nunua kitu chako kwa bei ya juu zaidi kwa kulipa fedha. ~ it off ondoa/maliza (madai yasohaki) kwa kulipa. ~ out 1 tawala kwa kununua (kampuni). ~ somebody over honga. ~ up nunua bidhaa yote. 2 pata kwa kujitoa mhanga/kukosa jingine. n ununuzi. buyer n mnunuzi, mshtiri. ~ers' market n soko la mnunuzi/mteja.