button

n 1 kifungo. ~ hole n tundu la kifungo. 2 swichi, kitufe you've only to press the ~ unahitaji kubonyeza kitufe tu. 3 uyoga mdogo ambao haujafunuka. 4 (colloq) (pl) mtumishi wa hotelini. vt 1 ~ up funga kwa vifungo. 2 kamilisha salama. 3 (sl) funga mdomo. on the ~ safi kabisa. vi fungika (kwa vifungo). vt sumbua; pekecha tundu la kishikizo. ~-loop n kitanzi cha kishikizo. ~ up (colloq) salama kabisa. buttoned up adj (of person) -kimya.