butt
butt
1 n pipa kubwa.butt
2 n 1 tako, kitako (k.m. cha bunduki). 2 (of cigar or cigarette) kichungi; kipande cha mwisho cha mshumaa/sigara iliyowashwa.butt
3 n 1 (usu pl. with def art) renji, lengo, kusudio, shabaha. 2 mtu anayedhihakiwa au kutaniwa sana.butt
4 vt,vi 1 sukuma kwa kichwa, kumba (of horned animals) piga pembe. 2 ~ in (colloq) jiingiza, ingilia, jidukiza. ~ into gonga kwa kichwa; gonga kwa mbele.