butcher

n 1 bucha. ~'s shop n bucha, duka la nyama. 2 (murderer) mwuaji, katili. vt 1 chinja (mnyama kwa chakula). 2 ua kwa ukatili. butchery n 1 uchinjaji nyama (kwa ajili ya kuuza). 2 mauaji ya binadamu kikatili. 3 madhabahu/machinjioni.