busy

adj 1 (of person) -enye kazi, mashughuli, -a shughuli (nyingi) keep oneself ~ jishughulisha. 2 (of a road) -enye magari mengi, kupitapita watu/magari mengi; (of business) -a shughuli nyingi the ~ hours saa za kazi. get ~ anza get ~ eating anza kula this is a ~ street mtaa huu una magari/watu wengi. 3 (of a telephone) inatumika the telephone line is ~ simu inatumika/inaongea. vt ~ oneself (with) jishughulisha; shughulisha. busyness n. ~ body n aingiliaye kati ya mambo ya wengine, duzi. busily adv.