bust

bust

1 n 1 kifua cha mtu; maziwa ya mwanamke. 2 sanamu ya kichwa na mabega ya mtu.

bust

2 vt,vi 1 pasua, vunja pasuka; vunjika. 2 filisika. 3 go ~ filisika, shushwa/shusha cheo. 4 (of police) kamata, sachi, pekua. 5 ~ up gombana; achana. n ugomvi, kuvunjika (kwa ndoa). n 1 kukamata, kusachi. 2 kushindwa kabisa.