bush

bush

1 n 1 mti mfupi; kichaka, kituka, pori. take to the ~ torokea msituni. bushfighter n mpigania uhuru wa msituni. ~ lawyer n wakili wa mitaani. ~ telegram n ueneaji haraka wa uvumi; upelekaji habari kwa kutumia ngoma, moshi n.k. bushveld n mbuga (Afrika Kusini). bushy adj 1. -enye msitu mkubwa, -liojaa miti/vichaka. 2 -a vitawi vingi; -a manywele/madevu, -enye kivunga. ~ whacker n mfyekaji vichaka. ~ whack vt 1 ishi porini. 2 shambulia beat about the ~ zungusha maneno, sema kwa kuzunguka zunguka bila kufikia shabaha ya mazungumzo. 3 good wine needs no ~ chema chajiuza kibaya chajitembeza. bushed adj (colloq) (US) -liochoka sana; (colloq) Austral & N.Z.) -liopotea msituni.

bush

2 n bushi/sandarusi/bitani ya chuma. bushing n 1 bitani, kihani. 2 (mech) bushi.