burrow

n kishimo (cha wanyama), kitundu (kipenyacho chini). vi,vt fukua, ingia, (kaa) shimoni; (fig) chungua sana ~ one's way fuatisha njia. burrower n.