burn

burn

1 n (Scot) kijito.

burn

2 vt 1 choma, unguza ~t bricks matofali ya kuchoma. ~ one's fingers jiponza, bahatisha ( yote kwa kutumaini kufaulu). 2 washa; waka the fire is ~ing moto unawaka. 3 ~ with anger kasirika sana. ~ing glass lensi ya kuwashia (kwa kutumia mionzi ya jua). 4 ~ down teketeza, angamiza. burnout pofu, choka sana (kwa ajili ya jitihada ya muda mrefu; kwa mwanga mkali). vi 1 ungua, waka, teketea, ona jingi ~ easily (of skin) zingia kwa jua. 2 ~ into (a metal etc.) tia alama/mkato, mchoro kwa moto. ~ up kasirika. ~ someone's ears (sl) kemea sana n kuchomwa. ~ing-hot -enye kuungua sana. burner n 1 mchomaji 2 bana. burning n 1 mwako, mchomo. 2 (of brick) kuchoma. 3 (of stomach) mchomo adj 1 -ingi, -kali a ~ing thirst kiu kali. 2 -enye kukera, -lio muhimu a ~ing question swali muhimu. 3 -baya, -a aibu; kubwa a ~ing shame aibu kubwa.