burglar

n mwizi wa kuvunja nyumba. burglary n wizi. ~-proof adj -lioimarishwa dhidi ya wizi. ~ alarm n chombo cha kutoa tahadhari ya wizi. burgle vt, vi vunja nyumba kwa sababu ya kuiba.