burg

n (US sl) mji; jiji. burgess n mwenyeji wa mji, raia; mpiga kura. burgomaster n mkuu wa mji, meya (wa mji wa Uholanzi au Ujerumani).