bureau

n 1 (GB) dawati, deski lenye mtoto wa meza. 2 (US) kabati la nguo lenye watoto wa meza. 3 ofisi (ya serikali au biashara hasa kwa ajili ya kuhifadhi taarifa) ~ of Standards Shirika la Viwango vya Bidhaa.