burden

n. 1 mzigo (mzito). beast of ~ n mnyama wa kuchukua mizigo (farasi,punda, ng'ombe, nyati, ngamia); (fig) hamali. 2 the ~ of proof wajibu wa kuthibitisha. 3 shehena, bari. 4 kiitikio. 5 kiini, maana hasa ya jambo. vt ~ somebody twisha mizigo, sumbua, gandamiza.