buoy

n 1 boya. 2 life ~ n chelezo, boya au kifaa cha kuokolea maisha. vt tia boya, weka vyelezo, funga pungu. 2 ~ up changamsha, tia moyo; eleza mtu au kitu majini kisizame. buoyancy n 1 uelezi. 2 (cheerfulness) ukunjufu, uchangamfu. 3 (the stock market) bei kuendelea kupanda. buoyant adj.