bunting

n aina ya vitambaa vya rangi-rangi kwa ajili ya bendera na mapambo (kwenye barabara na majumba wakati wa sikukuu).